Kwa Watumiaji kwenye Mtandao wa Bendi ya 5GHz (IEEE802.11a/IEEE802.11ac)
Kompyuta imeunganishwa kwenye mtandao wa Wi-Fi wa bendi 5 GHz. Hata hivyo, printa inaweza tu kuunganishwa kwenye mtandao wa Wi-Fi wa bendi ya 2.4 GHz.
Jina la mtandao (SSID) lililoonyeshwa kwenye skrini hii haliwezi kupatitikana kwenye printa. Angalia maelezo kuhusu skrini inayofuata na uunganishe printa kwenye mtandao wa Wi-Fi ambao hutumia bendi ya 2.4 GHz.